Sisi
ni jumuiya ya wanafunzi mabalozi wa Kristo Tanzania tunayemwakilisha Kristo
katika maeneo mbalimbali, kielimu nchi nzima yaani mashuleni na vyuoni.
Tunatokea katika makanisa mbalimbali ya kipentekoste yakiwemo EAGT, TAG, FPCT,
PEFA, CAG, FGBF, REDEEMED CHURCH na mengine mengi.
Tunakumbuka ya kuwa
wewe ni mdau mhimu katika kumtumikia Bwana Yesu kwa kuunga mkono maono ya
kuwaleta watu kwa Yesu.






0 comments:
Post a Comment